• Hujambo wote!

  Habari gani?

  Ninaitwa Klara, na nitakuja Nairobi leo, kutoka Marekani, ili kuendelea kujifunza kiswahili. Nimefuraha sana kwamba nitatembelea Nairobi. Nijikaa Afrika ya Mashariki ...Je, kuna watu wengine walio wanataka kuzungumza kwa mimi? Ninatumia ndiyo ... Natumia kumwakutana hivi karibuni!

  Kwaheri,

  Klara

  Private_message
  Amazing!Awesome.Am really impressed.WoW!

  Klara,
  Karibu Kenya,Karibu nyumbani.
  Private_message
  Hujambo Clara,

  karibu sana kenya,hongera kwa ujuzi wako wa lugha ya kiswahili.
  kuwa na wakati mzuri.ukitaka kusafiri wasiliana nami.

  karibu
  Private_message
  Your swahili is good.... Yeah i would love to meet up sometime
  Private_message
  Hey Clara! fantastic swahili...guess you can speak much better than some of us lol

  Hope to meet you )
  Private_message
  Karibu and we will teach you and show you around..www.safiritoursafrica.com
  Private_message
  yes klara kuja niko happa nakungojea kwa furaha sana

  It looks like you're posting an email address or phone number. To protect your privacy, don't post any personal contact information here.

 • It looks like you're posting an email address or phone number. To protect your privacy, don't post any personal contact information here.